Yahoo Web Search

Search results

  1. 4 days ago · Miradi ya maji imeboreshwa sana, kazi ya kumtua mama ndoo kichwani inaendelea.Rais Samia hatumii nguvu kujibizana na watu, yeye anahangaika na maisha ya watanzania, period. Kwa kazi hiyo anayoifanya Rais Samia ya kujenga miundombinu ya elimu, afya, barabara nk unadhani utazungumza hoja gani zaidi ya ubaguzi wa kifala.

  2. 2 days ago · AS the sixth phase government under President Samia Suluhu Hassan clocks three years’ of reign, the government has been keenly looking at various economic development from the grassroots to national level. The government has also shown firm commitments while cherishing various national mega ...

  3. 2 days ago · RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1,082 ambapo 29 kati yao wameachiwa huru leo na wengine 20 waliokuwa wakitumikia adhabu ya kifo wakibadilishiwa kuwa kifungo cha maisha. Kwa mujibu waa taarifa yake Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni , wafungwa hao wamepata msamaha huo ikiwa ni maadhimisho ya miaka 60 ya ...

  4. 3 days ago · RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Uturuki, zimeshuhudia ongezeko la biashara kwa kipindi cha miaka 10 kutoka dola za Marekani milioni 60 mwaka 2011/2012 hadi dola za Marekani milioni 300 mwaka 2022/2023. Amesema hayo nchini Uturuki wakati akihutubia wageni mbalimbali baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari katika Uchumi ...

  5. 3 days ago · Majaliwa alisema Rais Samia ameelekeza kuchukuliwa hatua za haraka katika maeneo yote yaliyoathiriwa na mvua zilizotokana na athari za kimbunga hicho ikiwa ni pamoja na kupeleka misaada. Aidha, alisema Rais ameagiza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lihakikishe linakamilisha uokoaji katika maeneo ya Kilwa na zaidi ya kaya 40 zimezingirwa na maji.

  6. 4 days ago · Rais Samia Suluhu Hassan amesema ili kukabiliana na matumizi ya nishati chafu ya kupikia na kuondoa madhara ya kiafya, ni wakati wa jamii kubadili fikra na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia kwani kwa sasa matumizi ya gesi sio anasa. Ameyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Nishati

  7. 4 days ago · Tabu mnaongelea makaratasi lakini ukija huku mtaani mambo hayako hivyo,mnandanganya Samia kwa takwimu za uongo,nenda kwenye duka lolote la pembejeo uliza bei ya mbolea aina ya Yurea inauzwa sh ngapi?kwanza kukupa hiyo bei wanakutizama usoni kwanza au utumie mtu wanayemfahamu la sivyo unaabiwa...

  1. Searches related to Samia (musician)

    samia (musician) and wife