Yahoo Web Search

Search results

  1. Swahili, also known by its local name Kiswahili, is a Bantu language originally spoken by the Swahili people, who are found primarily in Tanzania, Kenya and Mozambique (along the East African coast and adjacent littoral islands).

    • Bantu Languages

      The Bantu languages (English: UK: / ˌ b æ n ˈ t uː /, US: /...

    • Swahili People

      The Swahili people (Swahili: WaSwahili, وَسوَحِيلِ) comprise...

    • Niger–Congo

      Niger–Congo is a hypothetical language family spoken over...

    • Sabaki Language

      The Sabaki languages are the Bantu languages of the Swahili...

    • Swahili Grammar

      Swahili is a Bantu language which is native to or mainly...

    • Swahili culture

      Swahili culture is the culture of the Swahili people...

  2. The Swahili Wikipedia (Swahili: Wikipedia ya Kiswahili) is the Swahili language edition of Wikipedia. It is the largest edition of Wikipedia in a Niger–Congo or Nilo-Saharan language, followed by the Yoruba Wikipedia.

    • Wasemaji
    • Lugha Rasmi
    • Lugha Ya Kwanza, Lugha Ya Pili
    • Kimataifa
    • Maendeleo Ya Kiswahili
    • Faida Za kutumia Kiswahili Kwa Mataifa Ya Afrika
    • Mengineyo
    • Tazama Pia
    • Marejeo
    • Viungo Vya Nje

    Hakuna hakika kuhusu idadi ya wasemaji wa lugha hiyo; idadi zinazotajwa zinatofautiana, lakini ni kati ya milioni 100 na 200 , kwa sababu wasemaji wanaoitumia kama lugha ya kwanza hawapungui milioni 20, na wasemaji wanaoitumia kama lugha ya pilini zaidi ya milioni 90. Tena idadi ya wasemaji wa lugha ya kwanza inakua haraka, kwa sababu lugha inaenea...

    Kiswahili kimekuwa lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Masharikina katika nchi zifuatazo: 1. Tanzania: ni lugha ya taifa; ni lugha ya shule za msingi, lugha ya utawala serikalini na mahakamani; inatumika kote nchini, makanisani, misikitini, redioni, kwenye runinga na idadi kubwa ya magazeti. Serikali inatakiwa kukiendeleza Kiswahili kwa sababu ni ...

    Kiasili Kiswahili kilikuwa lugha ya kwanza tu ya wakazi wa miji ya Waswahilikwenye pwani, katika sehemu za pwani pia kijijini. Baada ya kuenea kimekuwa lugha ya watu wengi mjini hasa Tanzania lakini pia Kenya. Kimeenea zaidi kama lugha ya mawasiliano na biashara pale ambako watu wa makabila mbalimbali wanakutana. Pamoja na nchi zinazotajwa hapo juu...

    Lugha hii leo imekuwa na umuhimu mkubwa duniani kwa jumla, na hasa Afrika, kwa sababu ya kuenea kwake nchi mbali mbali, na kukusanya kwake watu wa makabila na nchi kadha wa kadha wakaweza kufahamiana kwa lugha moja, hasa ilivyokuwa ni lugha mojawapo katika lugha kubwa za Afrika ambazo zinachukuwa mahala pa lugha za kigeni na wakoloni, kama Kiarabu,...

    Lugha ina maendeleo: inaweza kukua, kukwama au kufa. Athira nyingi hutokea bila mpangilio pale ambako wasemaji wanapokea maneno mapya, wanaacha kutumia maneno mengine au hubadilisha kawaida ya matamshi au sarufi. Haya yote hutokea pia katika uwanja wa Kiswahili. Kuna mzaha unaosimuliwa hasa Tanzania: Kiswahili kilizaliwa Unguja, kilikua Tanzania Ba...

    Faida za kutumia lugha ya Kiswahili zinatajwa kama ifuatavyo: 1. 1. Husaidia kuleta umoja wa bara zima. 2. 2. Hudumisha utamaduni wa Kiafrika kuliko kufuata kasumba. 3. 3. Hufanya Waafrika waamini zaidi mambo yao kuliko kutegemea tu ya kigeni. 4. 4. Hurahisisha mawasiliano baina ya watuwa Afrika Mashariki. 5. 5. Husaidia kuwa na mahusiano ya kibias...

    Siku ya Kiswahili Duniani ilianzishwa na UNESCO mnamo mwaka 2021 ili kuadhimishwa kila tarehe 7 Julai kuanzia mwaka 2022.

    Ashton, E. O. 1944. Swahili Grammar (Including Intonation). London: Longmans.
    Hinnebusch, T. J. 1979. "Swahili". Katika: T. Shopen (mhariri) Languages and Their Status, uk. 209-293. Cambridge, Massachusetts: Winthrop.
    Hinnebusch, T. J., and S. M. Mirza. 1979. Kiswahili: Msingi wa Kusema, Kusoma na Kuandika. Lanham, MD: University Press of America.
    Shihabdin Chiraghdin et Mathias E. Mnyampala. Historia ya Kiswahili. Oxford University Press, 1977.
  3. Wikipedia ya Kiswahili (au Wikipedia kwa Kiswahili) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiswahili. Wikipedia ya Kiswahili ilianzishwa tarehe 8 Machi 2003, na tarehe 27 Mei, 2024, imefikia makala zipatazo 80,864, idadi inayoifanya iwe Wikipedia ya 82 (kati ya 326 zilizo hai) kwa hesabu ya makala zote..

  4. sw.wikipedia.org › wiki › MwanzoWikipedia

    Takwimu ya WIkipedia ya Kiswahili kwa jumla. Katika wikipedia ya Kiswahili iliangaliwa mara milioni 1.73 hivi, ambayo ni sawa na mara 55,800 kwa siku au mara 2,326 kila saa. Asilimia 52 za wasomaji wetu wako Tanzania, asilimia 13 wako Kenya, asilimia 18 wako Marekani na mnamo asilimia 10 wako Ulaya. Angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali.

  5. Wikipedia ni kamusi elezo huru ya lugha nyingi katika mtandao wa wavuti. Inalenga kukusanya elimu nyingi iwezekanavyo na kuisambaza kwa njia ya intaneti. Inatumia taratibu za wikiwiki. Ni bure kabisa, na inaweza kusomwa, kuandikwa, na kuhaririwa na mtu yeyote, popote pale.

  1. People also search for